Monday, 12 August 2013

Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuwaamini

1. A

1. Ambaye haijui namba ya simu ya mama yake mzazi kwa kichwa!

2. Ambaye ana marafiki wachache wa kike au hana kabisa.
3.  Ambaye anafungua soda au beer kwa meno!

4. Unamuona muda mwingi anachat lakini ukicheki inbox yake unakuta zero SMS

No comments:

Post a Comment