Baada ya vuta nikuvute kati ya TFF na serikali hatimaye msajili apisha Katiba ya TFF, kulingana na maagizo ya FIFA uchaguzi unatakiwa ufanyike tarehe 30 mwezi wa tisa (30/Sept/2013). Raisi wa TFF Leodgar Tenga aagiza kamati ya uchaguzi kuanza mchakato wa uchagizi mapema iwezekanavyo.
No comments:
Post a Comment