Pages - Menu

Pages

Wednesday, 14 August 2013

Hakuna mwalimu mkali kama ulimgu.






















Hakuna mwalimu mkali kama ulimwengu,usiombe kufunzwa nae,
shughulika sana kama wazungu,utajuta kukutana nae,
hatoi nafasi ya pili,hana msamaha wala aibu,
ni bora ufunzwe na mamae,hana maswali wala majibu,

No comments:

Post a Comment