Pages - Menu

Pages

Wednesday, 7 August 2013

MFANYABIASHARA MAARUFU WA MERERANI APIGWA RISASI

MFANYABIASHARA MAARUFU WA MERERANI APIGWA RISASI

Mfanyabiashara maarufu Erasto Msuya mmiliki wa S G Resort na Mfanyabiashara wa Madini wa Mererani ameuwaawa kwa kupigwa Risasi,alikuwa akitoka Mererani  kuelekea Moshi.Waliompiga ni watu wawili waliokuwa wamepanda Pikipiki alijaribu kukimbilia Mbugani wa hakufika mbali akamiminiwa Risasi.Kuna madai mengi ambayo hayajathibitishwa kama wamechukua pesa au la.

No comments:

Post a Comment