Wednesday, 14 August 2013

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA JEZI YA FC BARCELONA IKULU





Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC Barcelona Ikulu jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuendeleza soka na ishara ya kutambua ushirikiano wa kihistoria kati ya Castle Lager na FC Barcelona uliosainiwa hivi karibuni huko Camp Nou Hispania. 

No comments:

Post a Comment