Pages - Menu

Pages

Sunday, 11 August 2013

TANGAZO LA MAFUNZO NA AJILA

Wale wahitimu wote wa kidato cha sita waliofaulu kwa kiwango cha Subsidiary tatu na kuendelea waliomaliza kuanzia mwaka 2000-2013 kwa masomo ya SAYANSI na HISABATI kujiunga na mafunzo maalum ya TARAJALI ngazi ya stashahada(Diploma) kupitia mpango maalumu(BRIDGING COURSE) kwa mwaka wa Masomo 2013/2014.

Watakaochaguliwa watapewa mafunzo maalumu kwawaongezewa uelewa wamasomo yao ya kidato cha Tano na Sita,watafanya mtihani watakao faulu wataendelea na masomo ya Diploma January 2014 baada ya kumaliza wataajiliwa na Serikaki moja kwa moja.

Andika Barua na utume maombi yako WIzara ya Elimu,na mwisho wa kutuma maombi ni Augost 20,2013.Tagazo hili utalipata katika tovuti ya Wizara ya Elimu. Kwa maelezo ya kina bofya hapo--> www.moe.go.tz

No comments:

Post a Comment