Thursday, 15 August 2013

Ukitaka Kujua una roho mbaya ama huna ni rahisi sana.
















(i)Ukiona ndani ya moyo wako unafanya jambo ili kuwafunika wenzako jua una roho mbaya.

(ii) Ukiona kindanindani unafurahia wenzako wakishindwa jambo hilo hilo wewe unaloweza vizuri jua wee una roho mbaya.

(iii) Ukiona kuna mahali wewe ndio unajifunzia jambo halafu hutaki wengine wafaidike kama wewe yaani kama Chuoni unaficha madesa ujue una roho mbaya.

(iv) Ukiona una ndani yako una hofu ya Kufunikwa/kupitwa iwapo utamfundisha mwingine jambo ambalo wewe unaliweza kwa sasa Ujue una roho mbaya.

(v) Ukiona una tabia ya kutoa taarifa za upotoshaji ili watu wakosee na wewe uzidi kuwa juu basi jua una roho mbaya.

(vi) Ukiona ndani yako unasikia vibayaa ukiona wenzako Status zao watu wana comment halafu ya kwako watu hawa comment Ujue una romo mbaya.

(vii) Ukiona mtu from now where anakukasirikia sababu wewe mambo yako yameanza kunyooka basi ujue ana roho mbaya

(viii) Ukiona unatamani watu Wasi Comment kwenye hii Ujue una roho mbaya.

Ngoja ninywe maji halafu narudi sasa hi.....

No comments:

Post a Comment