Pages - Menu

Pages

Wednesday, 14 August 2013

YANGA WAJIFUA KUWAKABILI AZAM JUMAMOSI

















Wachezaji hawa wa Yanga leo walinaswa na kamera yetu wakijifua kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mechi yao ya kuwania Ngao ya Hisani dhidi ya Azam Jumamosi ijayo.

No comments:

Post a Comment