Kwanini
wana ndiga wetu wanashindwa kuwika nje ya nchi?achana na mbwata samata
pamoja na ulimwengu. . kuna baadhi hata wakipata timu nje hatua ya
kwanza hutemwa timu ya taifa kwa kushuka kiwango tofauti na alipokuwa
akicheza ligi ya kwetu hatua ya pili anarudi nchini akiwa kaisha
kabisa!NI KAMA SOKA LA NJE LIMEKUWA LIKIUA VIPAJI VYA WANANDINGA WETU. .
No comments:
Post a Comment