Waanzilishi wa CHADEMA ni hawa hapa na ni chama cha kisiasa hakikuwahi kubadilishwa. Edwin Mtei (Arusha), Makani (Shinyanga), Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa), Edward Barongo (Kagera), Mary Kabigi (Mbeya), Menrad Mtungi (Kagera), Costa Shinganya (Kigoma), Evalist Maembe (Morogoro) na Steven Wassira (Mara)
No comments:
Post a Comment