JAMII NETWORK

Pages - Menu

  • Home
  • Politics
  • Culture
  • Wild Animal and Environmental
  • Education
  • Agriculture
  • Family
  • Guidance and Counseling
  • My History
  • Music
  • Events

Monday, 19 August 2013

PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MKOANI MORO, ASOMEWA MASHITAKA 3


Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda  amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Morogoro na kusomewa mashitaka matatu yanayomkabili.
Ponda alifikishwa mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi waliokuwa na mbwa baada ya kupokelewa kutoka katika Viwanja vya Gymkhana alipotua kwa helkopta majira ya saa tatu asubuhi akitolewa katika Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam.
Makosa matatu aliyosomewa Sheikh Ponda na wakili wa serikali, Bwana Bernard Kongola mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Morogoro Richard Kabate ni pamoja na Kutotii amri ya mahakama, uchochezi na kutaka kuvuruga amani ambayo mtuhumiwa ameyakana.
Mawakili wa upande wa mtuhumiwa walikuwa Ignas Pungu na Bantalomeo Tarimo, wakati upande wa serikali kulikuwa na Benedict Kongola, Gloria Rwakibalila na Asnab Mhando.
Kesi hiyo itasikilizwa tena Agosti 28 mwaka huu na mtuhumiwa amerudishwa Segerea jijini Dar es Salaam kwa usafiri uleule wa helkopta.
Posted by Unknown at 18:28
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Pages

  • Home

Blog Archive

  • ►  2014 (292)
    • ►  July (16)
    • ►  June (21)
    • ►  May (37)
    • ►  April (30)
    • ►  March (45)
    • ►  February (71)
    • ►  January (72)
  • ▼  2013 (605)
    • ►  December (66)
    • ►  November (106)
    • ►  October (200)
    • ►  September (18)
    • ▼  August (215)
      • MWANAMKE AOKOLEWA BAADA YA KUTAKA KUJIRUSHA KUTOKA...
      • FAMILIA YA MASOGANGE YAMWACHIA MUNGU
      • Feza in relationship,see what she is said.
      • Watanzania zaidi ya 100 wako gerezani nchini China...
      • MZEE GURUMO ASTAAFU MUZIKI
      • MWIGULU NCHEMBA TENA
      • HITILAFU KATIKA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME YA SONG...
      • “I Have a Dream” 50th Anniversary
      • FEZA ATUA BOTSWANA
      • Mahakama yaamuru Mubarak achiliwa
      • Silaha za sumu zawaua mamia Syria
      • Mwanasiasa wa Sweden ajeruhiwa Somalia
      • Chelsea yapata ushindi wenye utata.
      • Arsenal yaichapa Fenerbahce 3-0
      • KLABU ya Yanga, kati ya leo na kesho inatara...
      • Yanga yaburuzwa TFF,NSAJIGWA, MWASIKA WAIKABA KOO
      • Jairo, Nyoni watupwa
      • UTALII ZANZABAR,vijana kujihusisha na ngono nzebe
      • Urais wamtesa Makamba, VYUO VIKUU WAKANA TAMKO LA ...
      • SIRI NZITO ZA RWANDA KUCHOKOCHOA TANZANIA.. ZAFICH...
      • Mugabe kuapishwa
      • Wambura ajitoa uchaguzi TFF
      • Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewa...
      • Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), i...
      • Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar
      • Serikali yasalimu amri kwa Dowans
      • DIAMOND ADAIWA KUUZA UNGA
      • Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu w...
      • SADC yataka vikwazo kwa Zimbabwe kufutwa
      • Huenda kiongozi wa Boko Haram 'amekufa'
      • Kenya yasaini Dola Bilioni 5 na China
      • KALIPIO LA MWIGULU KWENDA KWA MWANA CHADEMA;ONYO K...
      • Kikosi cha Taifa Stars vs Gambia
      • Utafiti mwanamke akifikisha mika 25 anachowaza kuh...
      • Ng'ombe zaidi ya 80 wameuawa kikatili wilayani Mvo...
      • AZAMU WAMNYEMELEA MBUYU TWITE
      • Siri za mkataba wa Ngassa na Simba zafichuka rasmi
      • Hawa ndio vigogo wauza unga
      • Polisi Mwanza yamshikilia Mh.Wenje
      • Dk. Shein apangua Baraza la Mawaziri la Serikali y...
      • SERIKALI YA TANZANIA YAKANUSHA KUWA MAMA SALMA SIO...
      • Waliopanda mbegu DECI kurudishiwa
      • Trafiki anayedaiwa kuwa ni feki alivyokamatwa Dar
      • Vyuo vikuu wampigia Makamba debe la urais
      • Vigogo kutoa ushahidi dhidi ya Mbunge Lema
      • Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba...
      • Kesi ya Oscar Pistorius ni mwaka ujao
      • Apoteaza fahamu alipobomolewa nyumba yake
      • JENGO LA BAKWATA LABOMOLEWA
      • SADC YAPATA KATIBU MKUU MTENDAJI MPYA NI MTANZANIA
      • Mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya Kutoka Cha...
      • PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MKOANI MORO, ASOMEWA MA...
      • WACHUNGAJI WA DESI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3,...
      • The Professor himself...
      • VIONGOZI WENGI WANAFIKI ASEMA MAKAMBA
      • Wenger admits interest in Kondogbia
      • Soma alichosema Dida kuhusu simba Dah.....
      • MAANDAMANO YA CHADEMA MWANZA LEO
      • SIMBA SC YAMUUZA KWA 'MKOPO' KAPOMBE UFARANSA
      • SHOMARY KAPOMBE KUJIUNGA NA AS CANNES YA UFARANSA
      • Wafuasi wa Ponda wapiga kambi Segerea
      • Maafisa 24 wa polisi wauawa Misri
      • Jamaica yanyakua relay. Mbio za mwisho.
      • Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini dar....!!
      • Watu 37 wafa ajali ya treni India
      • UN yawasili Syria - Kuna silaha za sumu?
      • 25 wachukua fomu uchaguzi TFF
      • Mwalimu amuweka kinyumba mwanafunzi
      • Maandamano kumng’oa meya Ilemela leo
      • ‘CCM imevunja Muungano’
      • Muhimbili yawa na kitengo cha kurembesha na kuleke...
      • Mikopo ya nyumba yaja
      • KATIBU MKUU WIZARA AMWITA WAZIRI MWONGO
      • Djotodia aapishwa kama rais wa CAR
      • Hamis Kiiza apata timu Lebanon
      • Nini maana nyingine ya 'Bongoland'?
      • Wadau:Wakuu wa majeshi wasiteuliwe na Rais
      • Hawa ndiYo waasisi wa CHADEMA
      • OFISA WA JESHI ATOROKEA RWANDA NA SIRI NZITO ZA JE...
      • Sheria ya kufilisi mafisadi yaja
      • Mvietnam adakwa na pembe za ndovu uwanja wa ndege
      • CHADEMA yafukuza wanachama wake nane
      • HAAA! MASKINI KASEJA
      • Madiwani CCM kutua CHADEMA
      • Tindikali yauzwa kama njugu mitaani
      • Higher Education Students' Loans Board(tangazo muh...
      • Mauaji Kenya
      • Wezi wa nywele za wanawake Venezuela
      • Jaji wa mahakama kuu Uingereza ameagiza mwanamme m...
      • Kemboi anyakua medali ya dhahabu
      • Arsenal yaanza vibaya msimu mpya
      • WAKAZI WA KIGOMA WALIPOKEA TAMASHA LA SERENGETI FI...
      • HII NDIYO YANGA BHANA
      • RAIS KUWAADHIBU MAWAZIRI WAZEMBE
      • MTANDAO WA MAJANGILI WAITISHA SERIKALI
      • MIFUKO YA PLASTIKI SASA MARUFUKU
      • MENEJA CRDB MOSHI KIZIMBANI
      • CCM KAGERA WAMPINGA NAPE,WATOA TAMKO
      • MADUDU ZAIDI AIRPORT DAR
      • PONDA SEGEREA

About

About Me

View my complete profile

RADIO FREE AFRICA

live radio

Kfm 93.3 Uganda
Times 100.5 FM
RADIO FREE AFRICA

social media

like this page on facebook

Popular Posts

  • XXXTZ: VIDEO..LECTURE NA MWANAFUNZI WAKE WAJIREKODI WAKIF...
    XXXTZ: VIDEO..LECTURE NA MWANAFUNZI WAKE WAJIREKODI WAKIF... : CHEKI VIDEO HAPA CHINI
  • WAFANYA MAPENZI (NGONO) HADHARANI
      Tukio la kioja na kuporomoka kwa maadili limetokea maeneo ya Kwahu, huku Ghana, Baada ya demu mmoja ambaye anasadikiwa kuwa ni changudo...
  • WANASWA LIVE WAKIFANYA MAPENZI HADHARANI
      Wapenzi wawili wanaosemekana kuwa na vichaa wanaswa wakifanya ngono mchana kweuupeee...!! Huku wapita njia wakishuhudia tukio ...
  • Picha:Jinsi wanawake wa Kenya Ambavyo Hawana Aibu Wakiwa Club
      There was a story about this sometime ago talking about how these girls went gaga in a club, no one gave the true story saying it was a...
  • HIZI NDIZO SABABU ZA KUKAUKA KWA UKE WA MWANAMKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.
    Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi...

Followers

Give your Feedback

Name

Email *

Message *

Chibure Edgar. Picture Window theme. Theme images by Roofoo. Powered by Blogger.