Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321, Ilikuwa hivi:_ 1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2.Shaban Iman Madega kura 335 3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206 4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12 Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
No comments:
Post a Comment