Thursday 24 July 2014

Hawa wako kwenye rada ya Simba.

ZOEZI la usajili linaonekana kuupasua kichwa uongozi mpya wa klabu ya Simba kutokana na kuwepo kwa mkanganyiko mkubwa juu na nani asajiliwe katika kikosi hicho.
Simba tayari imewasajili mabeki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Joram Mgeveke na makipa Hussein Shariff ‘Casillas’ na Peter Manyika Junior ikiwa ni jitahada zake za mwanzo za kuboresha kikosi hicho.
Kwa sasa viongozi wa Kamati ya Usajili ya Simba wanahaha ndani na nje ya nchi kuangalia uwezekano wa kuongeza nyota kadhaa katika kikosi cha timu hiyo. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 wanaoweza kuvaa jezi za Simba msimu ujao na ambao wamekuwa wakiupasua kichwa uongozi mpya.

1. Jean-Claude Iranzi
Ni straika wa APR ya Rwanda yuko kwenye rada za viongozi wa Kamati ya Usajili ya Simba ikiwa ni jitihada za kumwongezea nguvu Mrundi Amissi Tambwe katika upachikaji wa mabao klabuni hapo. Iranzi alizungumza na Mwanaspoti na kukiri kufanya mazungumzo ya awali na uongozi wa Simba hivyo huenda tukamwona kwenye jezi ya wekundu hao msimu ujao,ingawa bado viongozi wa juu wanabishana.

2. Paul Kiongera
Rais wa Simba, Evans Aveva katikati ya wiki iliyopita alikwea pipa hadi nchini Kenya kwenda kufanya mazungumzo na mshambuliaji huyo wa KCB ya nchini humo baada ya jitihada za Kamati ya Usajili kufeli. Awali Kamati ya Usajili ya Simba ilifanya makubaliano na Kiongera na kukubaliana kumlipa dola 15000 (Sh 24.3 milioni) kama ada ya usajili lakini mmoja wa vigogo hao wa Simba alikurupuka na kujikuta akipandisha dau hilo hadi dola 25000 (Sh 32.3).
Habari kutoka ndani Simba zinadai kuwa Aveva ameshafanikiwa kumalizana na Kiongera na atatua nchini muda wowote kuanzia leo ili kusaini mkataba na wekundu hao.

3. Pierre Kwizera
Kiungo Pierre Kwizera anayekipiga timu ya Afad Abidjan ya Ivory Coast aliwasili nchini alfajiri ya Jumamosi iliyopita na kufanya mazungumzo na viongozi wa Kamati ya Usajili ya Simba na kufikia makubaliano ya awali. Baada ya kufikia makubaliano hayo Pierre tayari amerejea nchini Ivory Coast kwenda kumalizana na klabu yake hiyo ya awali kwaajili ya kukamilisha dili hilo la kuhamia Simba. Ujio wa Pierre unaweza kuua dili la Iranzi kutokana na nafasi za wachezaji wa kigeni klabuni hapo kusalia mbili pekee. Nafasi ya pili itajazwa na Kiongera.

4. Elius Maguri
Baada ya Simba kushindwa kukamilisha dili la usajili wa mchezaji yoyote kutoka klabu ya Mbeya City, sasa wamehamishia rada zao kwa mpachika mabao wa Ruvu Shooting, Elius Maguri. Mshambuliaji huyo ambaye alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao 14 huenda akaongezwa msimbazi ili aongeze nguvu katika kikosi hicho kilichomaliza katika nafasi ya nne msimu uliopita. Taarifa zaidi zinadai kuwa Simba imeshamalizana na mchezaji huyo na kazi imeabaki kumalizana n

5. Saady Kipanga
Licha ya Klabu ya Mbeya City kugoma kuwauzia Simba mchezaji yoyote, Kipanga bado ana mapenzi ya kutua Simba na tayari ameshafanya makubaliano na baadhi ya viongozi wa kamati ya Usajili. Dili la Kipanga linaonekana kuwa gumu kutokana na Mbeya City kuwa na msimamo mkali hivyo endapo uhamisho wa Elius Maguli utafanikiwa dili la Kipanga linaweza kuwekwa kapuni.

6. Edward Charles
BEKI ngongoti wa JKT Ruvu, Edward Charles amekuwa kwenye rada za Simba kwa muda mrefu sana na huenda wiki hii viongozi wa Kamati ya Usajili wa klabu hiyo ukamalizana na mchezaji huyo. Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa dili hilo limekwamishwa na wakala wa Charles ambaye ni Mjomba wake kutaka Simba itoe Sh 25 milioni wakati Simba wako tayari kutoka Sh 18 milioni pamoja na kulipa fidia ya mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia Ruvu.

7. Jabir Aziz ‘Stima’
Taarifa za ndani kutoka Kamati ya Usajili ya Simba zinadai kuwa kuna uwezekano kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Jabir Aziz ‘Stima’ aliyetemwa na Azam akarejeshwa klabuni hapo. Dili la Stima linaonekana kukwamishwa na dili jingine la Michael Mgimwa ambaye tayari ameanza mazoezi na klabu hiyo. Awali baadhi ya viongozi wa Kamati ya Usajili walimtaka Stima akafanye mazoezi na klabu hiyo ili kocha mkuu wa timu hiyo Zdravko Logarusic aweze kuuona uwezo wake lakini mchezaji huyo aligoma na kutaka kupewa mkataba kwanza.

8. Deus Kaseke
Simba bado haijakata tamaa ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa Mbeya City, Deus Kaseke ambaye amewekewa ugumu na klabu yake. Kocha Logarusic aliingia matatani na uongozi wa klabu hiyo wikiendi iliyopita baada ya kuutaka uongozi wa klabu hiyo kumsajili Kaseke pamoja na wenzake wanne kutoka Mbeya City. Taarifa za ndani zaidi kutoka Simba zinadai kuwa Logarusic anaukubali sana uwezo wa Kaseke.

9. Haruna Moshi ‘Bobani’
Kamati ya usajili ya Simba imekumbwa na mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya vigogo wa kamati hiyo kuibua upya uwezekano wa kumrejesha kiungo wa zamani wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’. Awali Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema hawawezi kumrejesha Bobani kutokana na nidhamu yake mbaya lakini inasemekana kuwa baadhi ya wajumbe wanampigia chepuo mchezaji huyo kwa madai kuwa kiwango chake bado kinaridhisha.

10. Shaaban Kisiga
Uchovu! Kamati ya Usajili ya Simba imeonekana kuchoka baada ya baadhi ya wajumbe wake kupendekeza kusajiliwa kwa Kiungo Shaban Kisiga. Kiungo huyo kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kutemwa na Mtibwa Sugar aliyoichezea msimu uliopita. Hivyo katika majira haya ya usajili usishangae kusikia Kisiga amesajili kuichezea Simba kwa mara ya pili.

Tiba, kinga ya Ukimwi vyanukia.



Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti za awali duniani.Dawa yao inaweza kutumika kwa tiba ya wanaoishi na VVU na kinga kwa wale ambao bado hawajaambukizwa.

Mmoja wa watafiti hao, Dk Kamel Khalili aliwaambia waandishi wa habari juzi mjini Philadelphia, Marekani kuwa tofauti na utafiti mwingine, wao wamegundua namna ya kukiondoa kirusi kilichoingia kwenye kinasaba (DNA) ndani ya CD4 na kukitoa nje na hatimaye kukiua.

Alisema dawa hiyo inafanya kazi hiyo bila kuathiri seli za mwili wa binadamu.

Dk Khalili alisema ugunduzi wao ni wa hali ya juu zaidi kwa sababu teknolojia ya kutengeneza dawa hiyo ni tofauti na nyingine zilizokwisha kugunduliwa ambazo hazina uwezo wa kupenya ndani ya seli za binadamu, bali kuathiri tu VVU vilivyopo nje yake, ndani ya mfumo wa damu.

“Dawa yetu inakivuta kirusi nje ya seli (CD4) bila kuiathiri seli yenyewe na kukiua. Hivyo dawa hii itatumika kwa muda fulani na kuua virusi vyote mwilini na hakuna haja ya kuitumia wakati wote kama ilivyo dawa ya kufubaza VVU (ARV).”

ARV huangamiza VVU vilivyopo kwenye damu na kuendelea kuviacha hai vile ambavyo tayari vimeingia ndani ya CD4, hivyo kufanya virusi kuzuka upya pindi mwathirika anapoacha kutumia dawa.

Mmoja wa wataalamu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Kituo cha Mbeya (NIMR-MMRC), Clifford Majani ameuelezea utafiti huo kama mwanga mpya katika teknolojia ya kukabili VVU.

“Kama imepatikana teknolojia ya kukiondoa kirusi ndani ya seli ni hatua nzuri ya kukabili VVU. Hili lilionekana kuwa gumu mwanzoni,” alisema Majani.

Alisema imekuwa vigumu kuua kirusi kikiwa ndani ya seli na hata baadhi ya wanasayansi wamejaribu kutengeneza dawa itakayotambua seli zilizoathirika ili ziuawe lakini hilo likawa gumu.

“Inaweza ikapatikana dawa ya namna hiyo (inayoua seli zilizoathirika) lakini ikawa inaathiri vitu vingine ndani ya mwili. Hilo halikubaliki. Kikubwa katika ugunduzi huo ni dawa kuweza kukifuata kirusi kinakojificha na kukiondoa, jambo ambalo dawa nyingi zimeshindwa zikiwamo ARV,” alisema.

Hata hivyo, Majani alisema changamoto ambayo inaweza kujitokeza katika majaribio ya dawa hiyo ni usalama wakati wa matumizi.kukiondoa,jambo   ambalo dawa nyingi zimeshindwa zikiwamo ARV,” alisema.

“Lazima dawa hiyo ichunguzwe isije ikawa inaathiri viungo vingine pamoja na utendaji wa mwili kwa ujumla. Maana hapo ndipo dawa nyingi zinaposhindwa… Tusubiri tuone hii inaweza kuwa na matumaini zaidi,” alisema Majani.

Mkutano wa Ukimwi

Ugunduzi huo umekuja wakati wanasayansi, waunda sera na wadau wa mapambano ya VVU wakiwa wanatoa kauli za kukata tamaa kwenye mkutano wa Ukimwi unaomalizika kesho huko Melbourne, Australia.

Wanasayansi kadhaa wanaotoka kwenye taasisi kubwa za utafiti za VVU wameweka wazi kuwa tafiti nyingi zilizokuwa na matumaini zimeshindwa kufanya kazi kwa asilimia 100 baada ya dawa zake kufanyiwa majaribio kwa sababu dawa zake zinapotumika, vipimo huonyesha wamepona lakini baada ya muda VVU hurejea upya.

“Kinachoonekana ni kwamba virusi hivi hujificha sehemu fulani ya mwili ili visiathirike na kusubiri mtu aache dawa ili virejee upya kushambulia CD4,” alisema Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya wa Magonjwa ya Kuambukiza na Kinga ya Peter Doherty ya Australia, Profesa Sharon Lewin.

Dawa mpya inavyofanya kazi

Dk Khalili alisema wametengeneza dawa yao kwa protini maalumu ambayo inakata sehemu ya seli iliyoshambuliwa na kirusi cha Ukimwi na kukivuta nje.

Baada ya kukivuta, dawa huachana na seli hiyo na kuiacha ikijitibu yenyewe na kupona kabisa kiasi cha kuendelea na kazi zake za kinga mwilini mwa binadamu bila tatizo.

VVU kwa kawaida hushambulia seli kinga aina ya CD4 na kuzifanya kama kiwanda cha kuzalishia virusi vingine.

Kwa kawaida seli ikishaingiliwa na kirusi, huacha kazi yake ya kinga ya mwili na badala yake kuchukua jukumu la kutengeneza VVU.

“Dawa yetu inafanya kazi kwa haraka, kwa makini na bila kuathiri seli,” alijigamba Dk Khalili.

Alisema tayari imefanyiwa majaribio maabara na kuonekana inafanya kazi vizuri na sasa wamehamishia majaribio kwa wanyama.

Katika maabara, alisema dawa hiyo ilifanyiwa majaribio kwa damu ya binadamu na ikaonyesha kufanya kazi kwa asilimia 100.

Dk Khalili anaamini kwamba majaribio hayo yatawachukua miaka michache... “Lakini tunaamini ni mfumo ambao utaweza kufanya kazi vizuri kwa binadamu.”

Alisema wanachofanya sasa ni kuangalia mfumo ambao utakuwa mzuri zaidi kwa ajili ya tiba ya binadamu.

Kwa namna teknolojia ya dawa hiyo ilivyo, alisema wanaweza kuitumia kwa ajili ya kuwatibu wale ambao tayari wameambukizwa na hata kuwakinga wale ambao siyo waathirika.

Uzuri wa dawa hiyo, pia alisema inaweza kutumiwa na mtu ambaye anatumia ARV pasipo kuingiliana kiutendaji.

Ugunduzi wao ulichapishwa kwenye Jarida la Taifa la Elimu ya Sayansi la National Academy of Science la Marekani na kuonekana kuvuta hisia za wengi.

Hali ya Ukimwi duniani

Akizungumza kwenye mkutano wa Melbourne, Profesa Lewin alisema tafiti za sasa zinaonyesha kuwa karibu watu milioni 14 duniani wanaishi na VVU.

Alisema mamilioni ya watu hao wamekuwa wakisaidiwa kwa kutumia ARV, wakati huu ambao bado hakuna kinga wala tiba, inayoaminika.

Alisema ingawa tafiti nyingi hazijaonyesha matumaini waliotarajia ya kupata kinga na chanjo, bado juhudi zinaendelea ili kuhakikisha wanafikia mahali HIV inakuwa haina nafasi katika mwili wa mwanadamu.

Alisema pamoja na matokeo hasi ambayo yamejitokeza kwenye tafiti nyingi, bado anaamini kwamba ipo siku chanjo na tiba vitapatikana.

Wanasayansi waliohudhuria mkutano huo waliitaka dunia isiogope kutokana na kushindwa kwa baadhi ya tafiti kama ilivyokuwa kwa mtoto wa Jimbo la Mississippi, nchini Marekani ambaye alitangazwa amepona na baadaye virusi vikaibuka upya.



Wednesday 23 July 2014

Ronaldinho ● Best Goals Ever

MBUNGE NA MWIMBAJI WA SOMALIA AUAWA


Mwanamuziki maarufu ambaye pia ni mbunge nchini Somalia, Saado Ali Warsame amepigwa risasi na kufa na wanamgambo. Aliuawa pamoja na mlinzi wake, katika shambulio la kutumia gari mjini Mogadishu. Msemaji wa kundi la al-Shabaab, Abdulaziz Abu Musab ameiambia BBC kuwa ameshambuliwa kutokana na sababu za kisiasa na sio muziki wake. Mwandishi wa BBC mjini Mogadishu Mohammed Moalimu amesema huyu ni mbunge wa nne kuuawa mwaka huu. Bi Warsame alipata umaarufu enzi za utawala wa rais wa zamani Siad Barre, aliyeondolewa madarakani mwaka 1991. Aliishi uhamishoni nchini Marekani kwa muda mrefu na alirejea mwaka 2012 na kuwakilisha ukoo wake katika bunge jipya la Somalia. Mwandishi wa BBC Idhaa ya Kisomali Abdullahi Abdi anasema Bi Warsame atakumbukwa zaidi kwa muziki wake. Alikuwa mmoja wa wasomali wanawake wachache aliyepanda jukwaani bila kujifunika kichwa na mara nyingine kuvaa suruali, jambo ambalo sio la kawaida kwa wanawake wa Somalia, amesema Abdi.

Wednesday 16 July 2014

MASAI NYOTAMBOFU: BONGE LA PICHA: DIAMOND KABLA YA KUITWA SUKARI YA ...

MASAI NYOTAMBOFU: BONGE LA PICHA: DIAMOND KABLA YA KUITWA SUKARI YA ...: Atateeeeeeeee...!!!

Talk Updates™ : 6-year-old rapper wants to make your ‘booty pop’

Talk Updates™ : 6-year-old rapper wants to make your ‘booty pop’: 6-year-old rapper who wants to make the ladies' booties pop! Albert is a first grader from South Florida who has been writing rhy...

HIZI NDIZO SABABU ZA KUKAUKA KWA UKE WA MWANAMKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.


Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-

1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.

2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.

3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari ).<<

4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.

5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.

Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.

Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.
Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-

1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.

2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.

3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari ).<<

4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.

5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.

Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.

Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.

VAN GAAL AWASILI MAN UNITED KWA NDEGE BINAFSI TAYARI KUANZA KAZI OLD TRAFFORD



 KOCHA Louis van Gaal ametua mjini Manchester tayari kuanza kazi katika ofisi mpya, Old Trafford.
Mwalimu huyo wa Manchester United alitua kwa ndege binafsi Jijini humo majira ya Saa 2.40 leo asubuhi na moja kwa moja kupelekwa makao makuu ya klabu, Carrington.
Atasalamiana na wakuu mbalimbali wa klabu hiyo kabla ya kuzungushwa kwenye Uwanja wa mazoezi na kisha kutambulishwa kwa wachezaji.

 Atapata fursa ya kuanza kujenga uhusiano na wachezaji baada ya kuongoza mazoezi kidogo kwa mara ya kwanza na
United inatarajiwa kumtambulisha rasmi kwa umma kesho katika Mkutanno na Waandishi wa Habari.
Mara baada ya kutambulishwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 62 atapaa tena na kikosi chake kwenda ziara ya Marekani ambako watacheza mechi nne.
Kocha huyo wa zamani wa Bayern Munich anaamini hana sababu ya kupumzika kwa sasa baada ya kuiongoza kwa mara ya mwisho Uholanzi katika Kombe la Dunia, zaidi ya kuanza kazi kwa mwajiri mpya.
Uholanzi ilimaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia baada ya kuwafunga wenyeji, Brazil mabao 3-0 wakitoka kutolewa kwa penalti na Argentina katika Nusu Fainali.

 La Galaxy, Roma, Real Madrid na Inter Milan ndiyo timu ambazo zitamenyana na United na kumpa Mholanzi huyo fursa ya kukitathmini kikosi chake kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu ya England baada ya msimu mbaya uliopita chini ya kocha aliyemtangulia, David Moyes.
Van Gaal anatarajiwa kuchukua maamuzi zaidi ya kikosi hicho, pamoja na kuwakaribisha wachezaji wapy, Ander Herrera na Luke Shaw.
Chris Smalling, Tom Cleverley, Javier Hernandez, Shinji Kagawa, Darren Fletcher, na Ashley Young wote watasubiri kujua hatima yao kama watabaki Old Trafford. Robin van Persie yupo kwenye likizo ya wiki tatu baada ya Kombe la Dunia

MATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA!

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
- SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
- SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe

MWANAUME KAMA MPENZIO HAYAJUI HAYA MUELEZE AKUFANYIE USISIKIE TU.

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu .wakati tendo hilo wa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa, kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa. Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hilo.yafuatayo ni ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume atayashughulikia ipasavyo bila shala mtafurahia uumbaji wake MUNGU.
1. MIDOMO YAKE
Tumia midomo yako, ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni (usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu kwa kweli)
2. UKE NA KINEMBE
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ****** ) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na maji maji yakiongezeka kwenye uke . kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka. Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi . tumia kidole chako cha kwanza na taratibe zungusha kidole juu ya kinembe , pandisha na kushusha kidole chako hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla hujaingiza uume .Wanawake wengi watafurahia ukitukia uume wako uliosimama vzr kupigapiga eneo la kinembe nah ii huufanya uume kuwa wa moto na unapomuingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi.
Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilimia 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke sio rahisi kwa uume kufikia kinembe hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uume liguse kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.Utamatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE
Wanawake wengi hupata burudani masikioni yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA SHINGO YA NYUMA
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata raha kwa kuishughulikia sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini wa sehemu ya ndani ya mapaja yake fanya hivyo juu juu huku ukimbusu mapaja yake.
8. MATAKO YAKE
Wanawake wengi wanapenda matako yao yachezewe kimahaba kwa kuyaapasa ,endelea kwa kuminya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE
Miguu yake imejaaa miisho ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE
Mwanamke atafurahi sana atakashika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu .wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubnalika kabisa iwapo utashika wakai wa tendo la ndoa.
12. G SPORT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimita 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja . hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke.sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayoipata ni kubwa sana.

Magazeti ya leo July 16 2014 Udaku, Michezo na Hardnews

.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Utafiti:Kujamba kunazuia magonjwa.

Mnaochukia ushuzi kazi kwenu,


Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.
Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni
Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.
Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo mbaya inaweza kuwa kinga dhidi ya magonjwa ya moyo na akili na hata Saratani.
Gesi au harufu mbaya ambayo hutokana na chakula kinachosagwa tumboni mwako inaweza kulinda baadhi ya viungo vya mwili wako.
Ndio! athari ni kile ambacho unakidhania: Eti watu wanauchukulia utafiti huu kumaanisha kuwa harufu mbaya inayotokana na mtu kujamba inaweza kuzuia magonjwa fulani mwilini kama vile Saratani.
Utafiti huo uliochapishwa katika mtandao wa chuo kikuu cha Exter uligundua kuwa gesi hiyo inayojulikana kama Hydrogen Sulfide ambayo pia hupatikana katika Mayai yaliyooza, inaweza kuwa muhimu katika kutibu baadhi ya magonjwa.
"ingawa gesi ya hydrogen sulfide inajulikana kuwa na harufu mbaya na hupatikana katika Mayai yaliyooza pamoja na harufu ya mtu kujamba, hutengezwa mwilini na inawezekana kuwa tiba kwa magonjwa fulani, ''asema Daktari Mark Wood,Profesa wa chuo hicho cha Exeter.
Gesi hiyo ina athari mbaya ikiwa katika viwango vikubwa , kwa mujibu wa utafiti huo.
Watafiti wanasema licha ya harufu hiyo mbaya ya kujamba kuchukiza, ina uwezo mkubwa wa kupunguza uwezekenano wa mtu kupatwa na magonjwa kama vile, Saratani,Kiharusi, mshtuko wa Moyo na kuumwa na mifupa

LIVERPOOL YAKAMILISHA USAJILI WA MARKOVIC



Liverpool wamekamilisha usajili wa winga kutoka Serbia Lazar Markovic kwa pauni milioni 20 kutoka Benfica.
Markovic, 20, anakuwa usajili wa nne kwa Liverpool kipindi hiki.
Markovic aliisaidia Benfica kushinda ligi ya Ureno msimu uliopita, akitokea klabu ya Partizan Belgrade mwaka 2013.
Liverpool tayari wamewasajili Rickie Lambert na Adam Lallana kutoka Southampton na Emre Can kutoka Bayer Leverkusen.




Tuesday 15 July 2014

TAZAMA PICHA 10 JINSI WANYAMA WETU WALIVYOKUWA WAN...

dj sek: TAZAMA PICHA 10 JINSI WANYAMA WETU WALIVYOKUWA WAN...: Kampuni ya uwindaji ya Gree Miles Safari Limited(GMS) iliyokuwa ikifanya kazi zake za uwindaji Tanzania ilifutiwa leseni yake rasmi wi...

Ballali hakuwa mgonjwa wakati akienda Marekani.

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania, Marehemu Daudi Ballali hakuwa mgonjwa wakati akiondoka na aliugua kwa takriban miezi kumi kabla ya kukutwa na mauti, Mei 16, 2008 nyumbani kwake, Washington DC nchini Marekani.
Ballali aliondoka nchini wakati kashfa za wizi kwenye akaunti ya EPA zikiwa zimeshamiri na wakati kesi za watuhumiwa zikianza kusikilizwa huku jina la gavana huyo wa zamani likitajwa, ilitaarifiwa kuwa alifariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Miezi mitatu baada ya Ballali kuanza kuugua, Rais Jakaya Kikwete alikiri kuwa na taarifa za ugonjwa wake, lakini kakanusha kuwa amekimbia tuhuma za ufisadi zilizokuwa zinaelekezwa Benki Kuu (BoT).
Hata hivyo suala la gavana huyo likaendelea kuwa kitendawili hadi mauti yake, ambayo pia iliamsha mjadala mpya; baadhi wakidai hakuwa amefariki na wengine wakihoji mazingira ya kifo chake.
Lakini uchunguzi uliofanywa na gazeti hili na kuthibitishwa na baadhi ya ndugu wa marehemu, umebaini kuwa gavana huyo alifariki na kuzikwa nchini Marekani, lakini wakati anaondoka nchini Agosti 2008, Ballali hakuwa mgonjwa kama inavyodaiwa na wengi.
Taarifa kutoka ndani ya BoT alikokuwa akifanya kazi akiwa gavana pia zinasema kiongozi huyo alikwenda Marekani kwa mambo makubwa mawili; Kwanza kufanya baadhi ya kazi zinazohusiana na taasisi hiyo kuu ya fedha nchini na pili kusalimia familia yake ambayo wakati wote imekuwa ikiishi Marekani.
Hata hivyo, Gavana wa BoT, Profesa Beno Ndulu jana alikataa katakata kuzungumza iwapo taasisi yake ina taarifa iwapo Ballali aliondoka nchini akiwa mgonjwa au la, na badala yake akataka suala hilo waulizwe wanafamilia.
“Hayo mambo yalishaandikwa sana na nyie mmeandika sana. Kila mtu anafahamu kwamba aliondoka akiwa mgonjwa, sasa hizo taarifa nyingine unazoniambia mimi siwezi kuzizungumzia. Kaulize familia yake,” alisema Profesa Ndulu.
Wakati Ballali akiwa gavana, Profesa Ndulu alikuwa mmoja wa manaibu wake na baadaye aliteuliwa kushika wadhifa huo baada ya ‘bosi’ wake kuondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya kampuni ya Earnst and Young kubaini ufisadi mkubwa kwenye benki hiyo.
Hata hivyo, dada yake na Ballali, Margaret Mpango alisema kaka yake hakuwa mgonjwa na alitarajia kukaa siku chache nchini Marekani.
“Safari yake ilikuwa ya siku chache tu. Alikwenda Marekani lakini alikuwa amepanga kurejea nchini baada ya muda mfupi maana nyumbani kwake simu zake mbili zilikuwa mezani pamoja na funguo za gari ambalo lilikuwa limeegeshwa nje kwa style (mtindo) ambayo ilionyesha kwamba angerudi mapema,” alisema.
Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake mjini Kigoma, Margaret ambaye ni mke wa askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Dk Gerard Mpango, alisema baadhi ya nguo za marehemu zilitumwa Marekani baada ya kuanza kuumwa.


“Kama mtu alikuwa anakwenda kukaa sana kwa maana ya ugonjwa, basi angechukua nguo za kutosha, lakini wakati wifi (mke wa Ballali, Anna Muganda), aliponiomba kwenda kuchukua baadhi ya nguo, vitu vya kaka vilikuwa vimeachwa katika hali ambayo ilionyesha kwamba hakai sana,” alisema Margaret na kuongeza:
“Nakumbuka kwamba hata mikoba yake miwili iliyokuwa na vitu vyake vya kazini ilikuwa imewekwa mahali ambako hapakuwa siri. Na hii ni dalili kwamba alipanga kwamba angekwenda na kurudi baada ya muda mfupi.”
Kuugua kwake
Taarifa zinaonyesha kwamba Agosti 17, 2007 zikiwa ni siku chache tangu alipofika Washington, Ballali alijumuika na familia yake, ndugu wa karibu na marafiki zake akiwamo mtangazaji wa zamani wa Sauti ya Amerika (VOA), Athanas Maijo.
Maijo alialikwa katika hafla hiyo ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Ballali alipotimiza umri wa miaka 65, kutokana na ukweli kwamba, wawili hao waliwahi kuwa marafiki wa karibu na waliwahi kufanya kazi pamoja VOA katika miaka ya 60, wakati Ballali alipokuwa akisoma Chuo Kikuu cha Howard, Washington.
Habari zaidi zilizopatikana mjini Washington zinasema baada ya kumaliza shughuli zilizompeleka Washington, mwishoni mwa Agosti Ballali aliamua kwenda kufanyiwa uchunguzi wa afya na daktari wake aliyeko katika Hospitali ya Massachusetts iliyoko Boston, na baadaye angerejea nyumbani.
Hata hivyo, baada ya kufika hospitalini hapo, daktari wake alishtuka kutokana na matokeo ya vipimo vya tumbo alivyomfanyia, hivyo kuamua alazwe ili apate matibabu zaidi.
“Alikwenda kule na mke wake (Mama Muganda) na hawakuwa hata wamebeba nguo za kutosha kwani hawakujua kama angekutwa na matatizo yaliyosababisha alazwe, kwa hiyo ilibidi nguo pamoja na vitu vingine vipelekwe baada ya kulazwa kwake,” kilieleza chanzo chetu jijini Washington.
Habari kutoka kwa ndugu wa karibu wa gavana huyo zinasema daktari huyo katika vipimo vyake, alibaini kuwapo kwa tatizo kubwa katika utumbo mpana, hivyo aliamua kumfanyia upasuaji mkubwa baada ya kushaurina na madaktari wenzake katika hospitali hiyo, wakishirikiana na daktari wa Ballali aliyekuwa Washington akifanya kazi katika hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown.
Upasuaji huo ulikumbwa na changamoto kubwa kwani tatizo aliloliona daktari kupitia vipimo vya kitaalamu, lilikuwa ni tofauti kabisa na tatizo halisi ambalo daktari huyo alikutana nalo wakati akitaka kutekeleza wajibu wake.
“Ilibidi sasa awasiliane na daktari mwenzake yule wa Washington kumwambia tofauti hizo, kwa hiyo alimshauri kwamba atibu matatizo yote mawili, lile alilokuwa akiliona kwenye vipimo na lile alilokutana nalo wakati akitaka kuanza upasuaji,” alidokeza ndugu mwingine wa Ballali ambaye hata hivyo alikataa katakata kutaja aina ya matatizo hayo.
Alisema tiba hiyo ambayo alimsababisha Ballali kulazwa kwa siku kadhaa na kuyeyusha mipango yake ya kurejea Tanzania mapema, ndiyo iliyomwezesha kuishi kwa muda mrefu zaidi, vinginevyo asingevuka 2007.


Wakati wote alipokuwa amelazwa, hakuna kiongozi yeyote wa Serikali kutoka Tanzania wala ubalozini Washington DC aliyefika kumjulia hali.
Juzi Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue, ambaye wakati wa kifo cha Ballali alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, alikiri kwamba alihudhuria ibada na baadaye mazishi wakati huo.
Hata hivyo, alipoulizwa iwapo aliwahi kumjulia hali Ballali alipokuwa amelazwa, Sefue alisema hakuwahi kufanya hivyo na alipoulizwa sababu za kutokwenda alisema kwa kifupi: “Ndiyo hivyo, haikutokea, lakini ukweli ni kwamba Ballali aliumwa na bahati mbaya alifariki dunia.”
Kutoka hospitali
Desemba 2007, Ballali aliruhusiwa kutoka hospitali na alikaa kwa muda katika hoteli moja mjini Boston na baada ya kupata nafuu alirudi nyumbani kwake Washington ambako aliendelea kuuguzwa, huku afya yake ikielezwa kwamba ilikuwa ikiendelea kuimarika.
Hata hivyo, mwanzoni mwa Aprili 2008, Ballali alilazwa tena, safari hii katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown ambako alikaa hadi mwanzoni mwa Mei mwaka huo, alipoambiwa na madaktari kwamba asingeweza kupona na kwamba mauti yangemkuta katika wiki mbili.
Habari kutoka ndani ya familia yake zinasema madaktari waliokuwa wakimtibu walimwambia kwamba asingeweza kuishi kwa zaidi ya wiki mbili, hivyo walimshauri ahamie kwenye nyumba maalum ya kusubiri kifo kwa watu ambao magonjwa yao yameshindikana.
Hata hivyo, Ballali alikataa na badala yake kutaka arejeshwe nyumbani kwake, Washington ambako aliendelea kuugua na hatimaye kukutwa na mauti Mei 16, 2008 kisha kuzikwa katika makaburi ya Gate of Heaven yaliyopo Silver Spring, Maryland.
Gazeti hili liliwasiliana na hospitali zote mbili ambako Ballali aliwahi kulazwa, lakini lilijibiwa kwamba taarifa za mgonjwa huyo zinaweza kutolewa tu ikiwa familia yake ndiyo inayozihitaji.
Mkanganyiko wa taarifa
Kilichobainika kinapingana na taarifa kadhaa zilizowahi kupatikana kutoka katika vyanzo mbalimbali serikalini, zikidai kwamba Ballali alikuwa mgonjwa wa kansa ya damu (leukemia) na kwamba kwa muda mrefu alikuwa akitibiwa Afrika Kusini kabla ya kutibiwa Marekani.
Hata hivyo, baada ya kifo chake suala la kansa ya damu lilipotea kabisa na hakuna anayelizungumzia hivi sasa, kwani kila ndugu anayeulizwa anasema hafahamu sababu za kifo chake.


Akizungumza na mwandishi wa Mwananchi katika mahojiano yaliyofanyika Machi 1, mwaka jana, katika Kijiji cha Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, Paschal Ballali ambaye ni mdogo wake na marehemu alisema hana kumbukumbu kwamba kaka yake aliwahi kuugua ugonjwa wa kansa.
“Nakumbuka siku chache kabla ya kwenda Marekani nilikutana na kaka akitoka kazini pale BoT na aliniambia kwamba atasafiri kwa siku cheche na atarudi. Lakini hakuniambia kwamba anaumwa, na hata katika kuishi kwake sikumbuki kama aliwahi kusema kwamba anaumwa kansa,” alisema Paschal.
Kuhusu kutibiwa Afrika Kusini, Paschal alisema siku chache baada ya kuanza kazi BoT, Ballali aliwahi kuanguka ghafla akiwa ofisini kutokana na kufanya kazi muda mrefu, na kwamba wakati huo ndipo alipokwenda kutibiwa nchini humo.
“Tena nakumbuka kipindi hicho ni kama 2002 aliporudi baada ya kupona, alituita nyumbani kwake, Dar es Salaam tukashiriki kutoa shukrani kanisani kisha alifanya sherehe ndogo ya tukio hilo, tangu hapo sijawahi kusikia kwamba anakwenda Afrika Kusini kutibiwa,” alisema Paschal.

Mwananchi

Magazetini leo July 15 2014

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.