Liverpool wamekamilisha usajili wa winga kutoka Serbia Lazar Markovic kwa pauni milioni 20 kutoka Benfica.
Markovic, 20, anakuwa usajili wa nne kwa Liverpool kipindi hiki.
Markovic aliisaidia Benfica kushinda ligi ya Ureno msimu uliopita, akitokea klabu ya Partizan Belgrade mwaka 2013.
Liverpool tayari wamewasajili Rickie Lambert na Adam Lallana kutoka Southampton na Emre Can kutoka Bayer Leverkusen.

No comments:
Post a Comment