WATALII WAWILI WAMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR
Watalii wawili wamwagiwa Tindikali Zanzibar,kwa matukio haya ni ishara Amani inatoweka Tanzania,juzi na jana matukio matatu makubwa ya kusikitisha,mfanyabiasha wa Arusha kupigwa Risasi,mhaziri wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupigwa Risasi Magomeni TANESCO na wiki mbili zilizopita Afisa usalama kupigwa Risasi Kunduchi Dar es Salaam pia na matukio yote waharifu wametumia Pikipiki.

No comments:
Post a Comment