Monday 14 April 2014

MWANAMUZIKI MKONGWE MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA NA MAZISHI YAKE KESHO JUMANNE.


Mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyeitumikia bendi ya Msondo Ngoma kwa takriban miaka 50, Mzee Muhidin Gurumo yanatarajiwa kufanyika Jumanne ya wiki hii huko Masaki Uzaramuni, mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment