Mshambuliaji
Emmanuel Okwi dakika chache baada ya
kutua kwenye Uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINA),
leo.
Kwa
mara ya kwanza historia imenaidikwa baada ya Okwi aliyekuwa mchezaji
kipenzi zaidi cha mashabiki wa Simba, kujiunga na Yanga na hapa
anaonekana akiwa amevaa jezi ya rangi za njano na kijani za Yanga.
Hapa
Okwi akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Abdallah Bin Kleb na
Katabaro aliyeshughulikia usajili wake kwa karibu sana.
Viongozi
hao walikuwa kati ya waliojitokeza kumpokea wakati amewasili dakika chache
zilizopita.
Sasa
msafara bado uko njiani na kuna taarifa huenda wakapita klabu au la. Endelea kufuatilia
No comments:
Post a Comment