Wilbroad
Peter Slaa Amezaliwa Tarehe 29/10/1948, Alipata Elimu Ktk Shule Ya
Kanisa Catholic Ya Dun'gunyi Seminary O Level 1966-1969, Baadae
Akajiunga Na Shule Ya Kanisa Itwayo Itaga Seminary A-Level 1970-1971,
Baadae Akapata Cheti Cha Masomo Ya Upadre Ya Philosophy Mwaka 1973 Ktk
Shule Ya Kibosho Seminary, Na Tena Akapata Cheti Cha Masomo Ya Upadre Ya
Theology Mwaka 1977 Kipalapala Seminary,
Akaenda Kusoma Catholic Church Law Ktk Chuo Cha St Urban University
Rome Italy Mwaka 1977-1981, Baada Ya Hapo Akateuliwa Padre Jimbo La
Mbulu
No comments:
Post a Comment