JAMII NETWORK
Pages - Menu
Home
Politics
Culture
Wild Animal and Environmental
Education
Agriculture
Family
Guidance and Counseling
My History
Music
Events
Tuesday, 4 February 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MHIFADHI WA SOKWE DKT.JANE GOODALL
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza mhifadhi wa Sokwe wa kimataifa Dkt.Jane Goodall wakati mhifadhi huyo alipomtembelea Rais Ikulu na kumwelezea kazi zake mbalimbali za uhifadhi nchini. Dkt.Goodall anajihusisha na uhifadhi wa Sokwe katika hifadhi ya Gombe mkoani Kigoma na kazi yake imeipatia Tanzania umaarufu mkubwa duniani. Dkt. Goodall ni mwanzilishi wa taasisi ya Jane Goodall Institute inayojihusisha na uhifadhi wa Sokwe.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment