Watu 62 wamefariki katika
shambulii la kigaidi lililofanywa na magaidi wa Al Shabaab katika jengo
la Westgate na wengine zaidi ya 175 kujeruhiwa. Magaidi hao walivamia
jengop la Westgate siku ya Jumamosi mchana na kuwafyatulia risasi
kiholea watu waliokuwa ndani ya jengo hilo.
Vikosi vya usalama vimeweza kudhibiti jengo hilo
na kuwaua magaidi tisa. Hata hivyo baadhgi ya watu waliweza kunusurika
kifo kwa kukimbilia usalama wao na wengine labda kwa kutokuwa tu katika
ghorofa ambako wanamgambo hao walifanya mashambulizi.Mmoja wa wale walionusurika ni Salpat Singh
No comments:
Post a Comment