Waandishi wetu wakiwa na askari wa mkoa huo walimnasa mjamzito huyo anayedaiwa kuwa na mimba ya miezi sita akiwa mawindoni eneo hilo.
Changudoa huyo mwenye mimba akiwa chini ya ulinzi.
Mara baada ya mjazito huyo kukamatwa alitoa yake ya moyoni kwa kusema
kwamba anafanya biashara hiyo ili kupata fedha za kujikimu na ujauzito
wake haumpi shida yoyote.“Jamani natafuta pesa za kujikimu na maisha hapa mjini sasa mnatukamata tukale wapi? Hii mimba ni yangu na ninayefanya ukahaba ni mimi niacheni,” alisema mdada huyo.
No comments:
Post a Comment