Monday 27 January 2014

¤Jengo la Derm Complex ambalo ndio Makao Makuu ya Kampuni ya TIGO (Millicom International) limepata mtikisiko.


¤Jengo la Derm Complex ambalo ndio Makao Makuu ya Kampuni ya TIGO (Millicom International) maeneo ya Makumbusho limepata mtikisiko uliosabababisha mpasuko hususan ghorofa ya tatu.
¤Kutokana na hilo, wafanyakazi wote wa TIGO waliombwa waondoke kwenye jengo (to evacuate). Wameambiwa waende nyumbani au waende kwenye ofisi nyinginezo ndogo za TIGO kama ile Tegeta, Sinza, Kariakoo etc.
¤Haijajulikana chanzo cha mtikisiko na crack iliyotokea. Kuna ma-engineer majengo wameitwa kuja kuangalia kama jengo bado linafaa kwa matumizi ya kim

akazi au kiofisi.

No comments:

Post a Comment