Thursday 23 January 2014

Ninaandika ujumbe huu kwa WA-TANZANIA huku ninalia MACHOZI

Ninaandika ujumbe huu kwa WA-TANZANIA huku ninalia MACHOZI. Naamini kila M-TANZANIA anayesoma ujumbe huu anafikiri nipo NJE YA AKILI YANGU (I'm out of my mind but 100% I'm not). Ukweli ni kwamba INGEKUWA IKO NDANI YA UWEZO WANGU; 1. NINGEMTAKA KILA M-TANZANIA MWENYE UMRI ZAIDI YA MIAKA 16, hii ni pamoja na VIONGOZI NA WANA-SIASA wote waondoke, waende nchi zingine uhamishoni kwa muda hata walau wa miaka 20 tu WANIACHIE NCHI YANGU. Nitawatafutia VISA hata ya hapa INDIA kusudi nibaki na watoto wa miaka 16 na umri wa chini yao kusudi nao WASIHARIBIKE. Kisha mimi na wao (watoto) TULIJENGE TAIFA LANGU UPYA ambalo lilianza kuharibika tangu SIKU TU LILIPOPATA UHURU. 2. Hatua nyingine itakayofuata ni KUFUTA UKIRISTU NA UISLAM (DINI ZA WAZUNGU NA WAARABU) zilizosababisha taifa langu kuwa MASIKINI NA KUJENGA CHUKI, UBAGUZI MIONGONI MWA WATU AMBAO, HAWASIKII, HAWAELEWI, HAWAAMBIWI NA WASIOJALI umasisikini wa nchi yangu, na kuiharibu. KWA KWELI NAANDIKA HAYA TOKA MOYONI KUWA SIWAPENDI NINYI WA-TANZANIA UMRI 17+ ISIPOKUWA WAZEE WA UMRI WA MIAKA 80+. Mwende zenu sijali mnakwenda wapi, walau kwa miaka 20 tu ndo mrudi. WA-TANZANIA ONDOKENI KWA MUDA MNIACHIE TAIFA LANGU! Msije kuwaharibu na watoto wakawa kama ninyi, nao wakawa WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUFANYA KAZI, NA WALA RUSHWA. Na kama mnachukia ujumbe huu, na mimi nawachukia ninyi kuliko kitu kingine chochote na MUNGU naye naamini ANAWACHUKIA, kwa kuwa Taifa langu halitapona ninyi mkiendelea kubaki nchini mwangu. ONDOKENI TAFADHALI. MUNGU IBARIKI NCHI YANGU, WATOTO NA MIMI MWENYEWE. Nimebaki namuuliza MUNGU, KWA NINI UMENIPA WATU WAHARIBIFU? 

No comments:

Post a Comment