Friday 17 January 2014

NJIA TATU ZA KUEPUKA KUWA HACKED ACCOUNT YAKO YA FACEOOK

-Epuka Kuaccept Account Ambayo
Haina Kitu. Yaani Iko Empty Hasa
Zikiwa Mfululizo Coz Almost Account
Tatu Fake Zinatosha KuwaHacked

-Kuiweka Wazi, Au Kuwapa Watu
Email Yako Unayotumia Kuingia
Facebook, Coz Hat Kwa Kutumia
Email Yako Unaweza Kuwa Hacked.

-Kutokubali KuClick Link
Unazotumiwa Hasa Inbox Na
Kudanganywa Kuwa Kuna Mtu
Kakuchafua Au Kivyovyote Tu Ili
Uclick, UkiClick Tu Email Na
Password Zinatumwa Kwa Hacker.

-NJIA ZIKO NYINGI ILA HIZO
TATU TU ZINATOSHA KWA
HAWA HACKERS WA KIBONGO
BONGO:

Share kuSambaza ujumbe

No comments:

Post a Comment