Hili ni tukio la kusisismua Kutoka Nchini CHINA.
Mwanaume
Mmoja Nchini China ameshinda kesi ya kulipwa $120 000 ( tsh.192, 840,000/=) baada
ya kumpa taraka mke wake kwa kumzalia watoto wabaya.
Awali, mwanaume huyo aitwaye Jian Feng, alikuwa akimtuhumu mke wake
kuwa anatoka nje ya ndoa kwakuwa haikuwa ikimuingia akilini kuzaa watoto
wasiovutia kama wao..
No comments:
Post a Comment