Wednesday 5 February 2014

ELECTRONIC TICKETING ZA TFF..

.• Tender ya ku-supply electronic ticketing ya TFF ilitangazwa mwaka 2012.
•Makampuni manne yalishiriki; CRDB Bank PLC, SKIDATA People Access Inc., Prime Time Promotions na Punchlines (T) Limited
•Jun-2012 CRDB Bank PLC wakatangazwa washindi. CRDB wanatumia VSAT Internet, mtandao ambao huunganisha branches zake pamoja ATM zilizopo nchi nzima. Kwa vyovyote hii iliwasaidia kuwa na bei ya chini ukifananisha na competitors wake.
•Kikafuatia kipindi cha negotiation na contract signing. Bila shaka TFF hawakumtumia mtaalam yoyote mzoefu kwenye suala hili kama ilivyotokea kwenye suala la TV ambalo waliwapatia Azam TV.
•Baadaye ikaanza installation. Testing ilifanyiwa uwanja wa Chamazi. Mechi ya Tanga kati ya Yanga na Coastal Union ndio ilikuwa matumizi ya kwanza ya electronic ticketing. Nusura iwe majanga. TFF wamesimamisha rasmi utekelezaji wake until further notice.

Kuna possibilities kuu 4 zilizopelekea kilichotokea;
1. Mkataba una mapungufu ndio maana umesimamishwa. Miongoni mwa vipengele vilivyopelekea mchakato wa kusimamishwa ni CRDB kuchukua 5% ya mapato kutoka kwenye gross. Pia kwenye mkataba hakuna mahala panapozungumzia gharama ya investment ya vifaa.
2. CRDB haijatoa elimu ya kutosha kupitia vyombo vya habari, hususan linapozungumziwa .
3. CRDB ime-procure chini ya kiwango.
4. Kuna hujuma zinafanyika ili mfumo usifanye kazi.



 

No comments:

Post a Comment