Thursday 19 December 2013

HUYU NDIO MSANII WA BONGO MOVIE AMBAE ANAWACHUKIA WANAUME WA KIBONGO KWA SABABU HAWANA UTUNDU WA KITANDANI..

 

Msanii  wa kike wa filamu bongo  maarufu kwa jina  la Husna Chobis ‘Avana’ amedai kuwa yeye hataki kuwa  na mwanaume wa kibongo kwa sababu wengi  wao ni waongo  na  hawayajui  mapenzi...

Mrembo  huyo  alidai  kuwa  umaarufu  wake  humpa  wakati  mgumu  sana  wa  kumtambua  mwanaume  mkweli  maana  wengi  humtamani  kimapenzi  kutokana  na  jina  lake ( ustaa  wake )

“Sitaki kuzalishwa   wala  kuwa  na  uhusiano wa  kudumu  na mwanaume  toka  Tanzania  maana  wengi  wao ni tapeli  na  hata  ukiwakubali   huwa hawajui  kitu . 

"Bora kwa nchi za wenzetu kuna  ndoa za mikataba  kiasi  kwamba  mtu  unakuwa  unajua kabisa nitakuwa na huyu   kaka  kwa muda fulani , ntazaa  naye au ni wa raha tu.

"Hiyo  inasaidia  sana  kwa  sababu   kama huyo  kaka  ni   MSHAMBA inakuwa  ni  rahisi  kwako  kumpiga  chini  na  kuangalia  ustaarabu  mwingine”..alisema Avana. 

No comments:

Post a Comment