Sunday 10 November 2013

ALIYETUHUMIWA NA ZITTO AJIBU MAPIGO SOMA HAPA CHINI NI DAKIKA CHACHE TU ZILIZIPITA

From: t. Mutahaba To
johnmnyika@gmail.comcordesand@
gmai...abwe@gmail.com and 2 More...
Today at 12:56 AM
Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha. Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya
mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.
Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM
hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo
kumuua Mbowe na kumdhoofisha Dr. Slaa
· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba
unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama
ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa
ili CHADEMA isiibane sana serikali.
· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama
umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba
ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya
nchi na ushahuidi tunao
· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania
uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja
na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye
uenyekiti wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.
· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St.
Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo
zimetoka wapi?
· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale
jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na
pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa
· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya
umma wameleta malalamiko TISS kuhusu
unavyochukua fedha kwao. Hilo unalijua kama
ni ufisadi?
Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa
zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya.
Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za
uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe
ni fisadi namba moja. Umeficha fedha nje, ama
nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje
ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile
account umefunguliwa na nani?
Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine
nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na
Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio
chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha
kuwadanganya watanzania na kiini macho cha
Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae
kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi
na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao
kumaliza sio CHADEMA. Ule waraka
unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na
CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa
Andrea, take care of your son. Get out of
these Zitto corrupt acts. you know quite well
that we wired you money and we have the
evidence. Why would you waste your effort
making noises? do you know the German
government is investigating this matter? why
would you fall for Zitto childish internet games
of writing emails to the Chadema leaders. So
for your information, the document came from
CCM and Tanzania Intelligence Services
Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu
Chadema

No comments:

Post a Comment