Saturday 16 November 2013

Mwana Samatta ateuliwa na CAF kuwania tuzo ya Mwanasoka kati 21 bora kwa wachezaji wa ndani Africa

Mbwana Samatta wa TP Mazembe yumo kwenye orodha rasmi iliyotolewa na CAF ya wachezaji 21 mahiri wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwaka 2013 wanaocheza ndani ya Africa.

No comments:

Post a Comment