Saturday 26 October 2013

HII NDIO SHULE INAYOTOA MAFUNZO YA NGONO, ADA YAKE NI EURO 1,400 KWA TEMU


Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.

Kwenye kila darasa katika kila shule mara zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian International Séx School.

Shule hiyo hutoza £1,400 kwa temu moja, huku kikitoa mafunzo hayo kwa njia ya nadhalia na vitendo.

Wanafunzi wa shule hiyo huchanganywa na kuishi kwenye hostel moja ambapo hushauliwa wasaidiane kufanya ‘assignments’ zao

No comments:

Post a Comment