Monday, 7 October 2013

HAPPY BIRTHDAY JK PRESIDENT OF TANZANIA



Leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. DKT Jakaya Mrisho Kikwete, aliyezaliwa tarehe 07/10/50. Leo anatimiza miaka 63, Mwenyezi Mungu mbariki Rais wetu, Mungu bariki Taifa Letu. Tunawaomba tuweze kudumisha Amani na Upendo, kwenye siku hii ya kuzaliwa kwa kiongozi wetu

No comments:

Post a Comment