MFAHAMU MRISHO HALFAN NGASSA.
Jina kamili : Mrisho Khalfani Ngassa
Tarehe ya kuzaliwa : 12 April 1989(age 24)
Mahali alipozaliwa : Dar es Salaam, Tanzania
Urefu : 1.65 m (5 ft 5 in)
Nafasi uwanjani : Winga,mshambuliaji.
Timu anayochezea : Yanga
TIMU ALIZOWAHI ZICHEZEA
2005–2006 Kagera Sugar
2006–2010 Young Africans
2010–2012 Azam
2012–2013→ Simba(mkopo)
2013-→Young Africans
Mwezi April 2009, Ngassa alienda kufanya majaribio na klabu cha ligi kuu ya uingereza West Ham United.
May 21, 2010, Ngassa alijiunga Azam FC kwa ada ya uhamisho $40,000.
Akiweka rekodi ya uhamisho wa dau kubwa katika soka la Tanzania.
Mrisho Ngassa aliwahi fanya majaribio Seattle Sounders FC na akaingia
uwanjani akitokea benchi dhidi ya Manchester United katika mechi ya
kirafiki.
20 May 2013,Ngasa alisaini mkataba wa miaka 2 kuichezea Yanga mabingwa wa Tanzania.
MICHUANO YA KIMATAIFA
Ngasa aliibuka kuwa mfungaji bora wa CECAFA Cup 2009 akifunga magoli 5
akiiwezesha Tanzania kushika nafasi ya nne katika michuano hiyo.
Ngasa ni mchezaji anayeshikilia rekodi ya kuwa na magoli mengi katika timu ya taifa akiwa na magoli 21.
Ngassa ni mtoto wa kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Khalfan Ngassa.
MAFANIKIO
Akiwa Yanga
*Ubingwa wa ligi kuu:
2007–08, 2008–09
*Tusker Cup: 2007, 2009
TUZO BINAFSI
*. mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania : 2009–10
*.Mfungaji bora ligi kuu : 2010–11
*.Mfungaji bora CECAFA Cup : 2009
HADI SASA LIGI KUU
*.Kacheza mechi 5 kafunga goli 3 na katoa pasi za magoli 5.
JAMAA ANAJUA BANA.
No comments:
Post a Comment