Sunday, 18 August 2013

Hawa ndiYo waasisi wa CHADEMA



Waanzilishi wa CHADEMA ni hawa
hapa
na ni chama cha kisiasa
hakikuwahi
kubadilishwa.
Edwin Mtei (Arusha),
Makani (Shinyanga),
Marehemu Brown Ngwilupipi
(Iringa),
Edward Barongo (Kagera),
Mary Kabigi (Mbeya),
Menrad Mtungi (Kagera),
Costa Shinganya (Kigoma),
Evalist Maembe (Morogoro) na
Steven Wassira (Mara)

No comments:

Post a Comment