Monday, 19 August 2013

JENGO LA BAKWATA LABOMOLEWA


Jengo la Bakwata lililopo kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Bibi Titi jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia juzi lilibolewa ghafla wakati mali za wapangaji zikiwemo ndani na kusababisha hasara kubwa ya uharibifu na upotevu wa mali.

No comments:

Post a Comment