Watafiti wa masuala ya mahusiano wamebainisha kwamba, Mwanamke anapofikia umri wa miaka 25 huanza kujiuliza kuhusu kuolewa, lakini pia huanza kujiuliza kuhusu watoto. Kama hajaolewa, hana mchumba au anahisi kutokupata mtu anayeamini atamfaa, huanza kuhofia; wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza!
No comments:
Post a Comment