Saturday, 17 August 2013

HII NDIYO YANGA BHANA


Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akipokea ngao ya Jamii kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick wakati wa mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 1-0.  (Picha na Francis Dande)  

No comments:

Post a Comment