Monday, 19 August 2013

Mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya Kutoka Chadema



Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamevalia nguo za kimapambano wakati wakilinda mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa katika eneo la Kiomboi, Wilaya ya Iramba, Singida.

No comments:

Post a Comment