
Jana, Rais Kikwete alifanya mazungumzo na vijana wabwia unga (Mateja) Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwataka waachane na tabia ya kubwia unga badala yake wawe raia wema kwa faida ya Taifa.
Mkutano huo ulihudhuriwa pia na mfadhili wa kituo kimoja cha kurekebisha wabwia Unga aitwaye Zacharia Hans Poppe.
No comments:
Post a Comment