Tuesday, 13 August 2013

Waingereza wanaswa Airport na madawa ya kulevya









Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye
 airport ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo. Baada ya kukamatwa na polisi mabinti hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa hilo la kujaribu kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi sasa wapo kwenye mikono ya polisi

No comments:

Post a Comment