Monday, 12 August 2013

Wabunge wa Afrika mashariki












Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki watofautiana juu ya Vikao vya EALA kufanyika Arusha pekee!

- Baadhi wataka vikao vifanyike pia katika Mataifa wanachama
- Wananchi kadhaa wahofia EAC kuvunjika

No comments:

Post a Comment