Wednesday, 14 August 2013

Msikilize Peter Msigwa alichokisema Bungeni 16/06/2012




Mheshimiwa Mwenyekiti, kuna Mbunge mmoja alishauri hapa tuombewe lakini sioni hata theory ya uchumi inayosema kama unataka kutatua matatizo ya uchumi eti ufanye maombi, ninashangaa huyu amepata wapi hilo? As a Theologians hata Paul anasema asiyefanya kazi na asile siyo aombewe, unamnyima chakula lakini yeye anasema watu waombewe. Mimi kama Mchungaji naombea wazinzi, wanaofumaniwa na wake za watu, ndiyo tunawaombea, mimi kama Mchungaji tunawaombea wenye mapepo na hii ni principle tuna apply, una-consumers wengi lakini producers wachache maana yake you have to produce more tafuta njia za ku-produce zaidi, we don’t pray for this, we don’t have to pray for this

No comments:

Post a Comment