
UCHAGUZI wa Kamati ya mpya ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utafanyika Oktoba 20 mwaka huu, imeelezwa.
Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi ya TFF leo mchana, imesema kwamba, uchaguzi wa Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPL Board) utatangulia Oktoba 18 mwaka huu. Nafasi zitakazogombewa kwa upande wa TFF ni Rais, Makamu wa Rais na wajumbe 13 wa Kamati ya Utendaji wakiwakilisha kanda mbalimbali.
No comments:
Post a Comment