Raia mmoja wa Uingereza akamatwa na nyara za Serikali
Jeshi la polisi kwa ushirikiano na maafisa idara ya wanyamapori nchini linamshikilia raia mmoja wa Uingereza kwa tuhuma za kupatikana na nyara mbalimbali za serikali zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia moja.
No comments:
Post a Comment