Monday, 12 August 2013

Viwanja vya ndege vipatavyo 12 kukarabatiwa

Viwanja vya ndege vipatavyo 12 vilivyopo mikoa mbali mbali nchini vinatarajiwa kufanyiwa ukarabati ili kukuza usafiri wa anga nchini kufuatia benki ya dunia kuipatia serikali mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 3.2.

No comments:

Post a Comment