Saturday, 17 August 2013

WOLPER -KUHONGA NI KIPAJI


Akifafanua juu ya madai kuwa wauza unga wengi Bongo wanaongoza kwa kuwahonga mastaa, Wolper alisema siyo kweli kwani mtu unaweza kuwa na mpenzi mfanyabiashara mwenye pesa nyingi lakini akawa mbahili.
“Si kweli kuwa wauza unga ndiyo wanahonga sana wanawake au sisi mastaa, unaweza kuwa na bwana mfanyabiashara na mwingine kaajiriwa lakini huyo aliyeajiriwa akawa ana kipaji cha kuhonga, akakupa hata asilimia 75 ya mshahara wake na yule mwenye pesa nyingi akawa mbahili sana, ni kipaji tu,” alisema Wolper

No comments:

Post a Comment